Matukio ya kila siku
Showing posts with label
Iringa
.
Show all posts
Showing posts with label
Iringa
.
Show all posts
Saturday, October 12, 2013
Breaking news, wahamiaji haramu wa kisomali wakamatwa
Wahamiaji wanaosadikiwa kuwa wanatokea Somalia wamekamatwa katika barabara kuu ya Morogoro ,kuelekea Iringa ndani ya lori lililokuwa limebeba chokaa. Hali zao ni mbaya kutokana na kukosa hewa.
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)