Saturday, October 12, 2013

Breaking news, wahamiaji haramu wa kisomali wakamatwa

Wahamiaji wanaosadikiwa kuwa wanatokea Somalia wamekamatwa katika barabara kuu ya Morogoro ,kuelekea Iringa ndani ya lori lililokuwa limebeba chokaa.  Hali zao ni mbaya kutokana na kukosa hewa.
 

No comments: