Monday, September 9, 2013

Meli ya Tanzania yenye shehena ya madawa ya kulevya yakamatwa Italia

Sakata la wimbi la dawa za kulevya lazidi kushika kasi nchini Tanzania baada ya inayosadikiwa kuwa ilisajiliwa Tanzania inayojulikana kwa jina la Gold Star kukutwa na shehena za madawa ya kulevya yenye uzito wa tani 30.Inasemekana mzigo huo una thamani ya paundi milioni 50.  Baada ya kuona kuwa wameshtukiwa watu waliokuwa kwenye meli hiyo waliamua kuichoma moto na pia kujitosa baharini.



No comments: