Wednesday, October 9, 2013

Breaking News: Jahazi linatekea kwa moto bahari ya Hindi

Habari ambazo tumezipata hivi punde zinaelezea kuwa jahazi lililokuwa na wavuvi wapatao thelathini linateketea kwa moto muda huu katika bahari ya Hindi eneo la mtukule, pia kuna taarifa wavuvi wanajitupa baharini.

No comments: