Sunday, October 13, 2013

Hali ya Ufoo Saro inaendelea vizuri

Hali ya mtangazaji wa ITV na Radio One Ufoo Saro  aliyepigwa risasi na mzazi mwenzie aliyejulikana kwa jina la Anthery Andrew Mushi ambaye baada ya kufanya hivyo amejiua inaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa risasi ambao umechukua saa 7, hivi sasa amehamishiwa katika wodi ya kawaida.


No comments: