Wednesday, October 2, 2013

Irene Uwoya aamua kuachana na uigizaji

Muigizaji maarufu wa Bongo movie Irene Uwoya ameamua kuachana na uigizaji badala yake kujikita zaidi katika kipindi kipya cha luninga kiitwacho "Paradise" ambacho kimeanza kuonyeshwa katika luninga ya Clouds.

Nia na madhumuni ya kipindi kipya cha Uwoya cha Paradise ni kusaidia kukarabati nyumba wanazoishi.


No comments: