Sunday, October 13, 2013

Mzee small hali yake siyo nzuri

Msanii wa maigizo maarufu kama mzee small hali yake bado siyo nzuri pia hela kwa ajili ya matibabu ni ya shida sana. Mzee small alikuwa maarufu akigiza kama mume wa bi chau, pia alikuwa anatangaza kwenye matangazo ya azam hasa tangazo la kutumia nazi za pakti.


No comments: