Sunday, October 13, 2013

Breaking news Mwandishi wa ITV-Radio One Ufoo Saro apigwa risasi

Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana amempiga risasi na kumjeruhi mwandishi wa habari wa ITV na Radio One Ufoo Saro halafu kumuua kwa kumpiga risasi mama yake mzazi Ufoo Saro na yeye mwenyewe kujiua baada ya kufanya mauaji hayo huko Kibamba jijini Dar es Salaa. Sababu za kufanya hivyo bado hazijafahamika.  Tutaendelea kuwaetea habari kamili.
Ufoo Saro mwenye tshirt ya mistari aliyesuka nywele

No comments: